Our Prayers

A PRAYER FOR THE EAST AFRICAN PROVINCE

O Word of the Lord, Oh Word of God,

May you lead the members of the Institute of Charity, whom you have inspired with the desire to follow you. Let you yourself—no other, come with us, direct our every step.

Tell us when to stop and when to move.

Grants us to rest and to walk with you

 when you rest in our midst, we too will rest.

Watching in prayer, meditating on your word and awaiting the direction of your Will.

When you set out in our midst, let us move also with you fearing nothing under your guidance.

O word of God, when you command for us is quietness, grant us to love and desire it.

When you instruct us to rise and march, make us ready and strong and resilient for the fatigue of the journey.

We pray for you in particular to grant us many Holy Vocations and the grace to live together as brothers in community.

Help us always to be attentive to the indications of your Will in our Province. Through the example and the intercession of our Founder, Blessed Antonio Rosmini and of our Patroness St. Josephine Bakhita

 Grant that we may desire only and without limit to please you.

May you accomplish in us your Divine Will.

Amen

SALA YA KUIOMBEA PROVINSIA YA AFRIKA MASHARIKI

Neno wa Bwana, Neno wa Mungu,

Tunakuomba utuongoze sisi wa Shirika la mapendo, ambao

umetujalia nia ya kukufuata wewe.

Wewe peke yako, siyo mwingine, uwe nasi na utuongoze katika

kila hatua.  Utujulishe wakati wa kusimama na wakati wa kwenda.

Utujalie kupumzika na kutembea nawe.

upumzikapo, nasi tupumzike ndani yako, tukikesha katika sala

na kutafakari neno lako huku tukisubiri mwongozo wa mapenzi yako.

Ukitembea kati yetu, utujalie nasi tutembee nawe bila woga,

tukiwa chini ya maongozi yako.

Ee Neno wa Mungu, ukituamuru tuwe watu wa tafakari,

 utujalie kupenda tafakari na kuitamani.

Ukituamuru kuamka na kuendelea na safari,

utujalie utayari, ujasiri, na nguvu katika uchovu wa safari.

Tunakuomba sana utujalie miito mingi na Mitakatifu

na neema ya kuishi pamoja kama ndugu katika Jumuiya

Daima utusaidie tuwe makini kujua mapenzi yako katika Provinsia yetu

Kwa mfano na kwa maombezi ya Mwanzilishi wetu Mwenyeheri Padri Antoni Rosmini,

na kwa maombezi ya msimamizi wetu Mtakatifu Josephina Bakhita,

utujalie kukutamani na kukupenda wewe bila kuchoka.

Tunaomba mapenzi Yako Matukufu yatimizwe ndani yetu

AMINA

Lock full review www.8betting.co.uk 888 Bookmaker